Translation challenge #3… (swa-eng)

“Mpenzi mama,

Natumaini wewe ni mzima wa afya, mimi pia ni mzima kabisa.

Dhumuni la barua hii ni kukujulia hali kwa kuwa muda mrefu umepita toka tulipowasiliana. Mbali na kukujulia hali, ningependa kukutaarifu kuwa nitapata likizo mwisho wa mwezi ujao ambapo Read More

Translation challenge #2…(swa-eng)

“Jina langu ni Saida, nina umri wa miaka ishirini na mitatu. Ninaishi katika nchi ya Misri jijini Cairo ambapo ndipo nimezaliwa na kukulia. Natokea kwenye familia ya watoto wanne na mimi ndiye kitinda mimba. Nina dada wawili na Read More

Translation challenge #1…(swa-eng)

“Tanzania ni nchi iliyopo katika upande wa Mashariki ya Bara la Afrika. Nchi hii ilipata uhuru wake mwaka elfu moja mia tisa sitini na moja na rais wake wa kwanza alikuwa ni Hayati Mwalimu Julius Kambarage Nyerere ambaye Read More