krismasi hiyooo…

Haya jamani, sikukuu ndo’ hiyoo yajongea au tuseme ishafika. Je, mna mipango gani krismasi hii? Kusema ukweli mimi sina, kwa sababu mimi si mtu wa kutoka na kwenda ‘kujivinjari’ kama wasemavyo vijana wa siku hizi (I know, boo!) Ila natumaini nyote mna mipango kabambe kabisa ya kukata na shoka, si mnajua tena, unaishi mara moja tu! Ila naomba niwasihi 

muwe waangalifu sana na zaidi ya hayo tafadhalini sana msinywe na kuendesha!

Basi nawatakieni nyote heri ya krismasi pamoja na mwaka mpya ulio na mafanikio tele na inshallah, tuonane Mungu akipenda. Amin!

(Not understood a thing? Not to worry ask and it shall be translated for you! Sorry am in the lazy holiday spirit right now! But in short am just wishing you all a merry xmas and an awesome new year and of cuz beseeching you to not drink and drive-it’s so not cool!)

images

Tagged , , . Bookmark the permalink.

Leave a Reply