Sikiliza, Andika na Tafsiri

images-6  images-7

        Sikiliza                                               Andika

Tafsiri – translate

 

Tagged , . Bookmark the permalink.

2 Responses to Sikiliza, Andika na Tafsiri

 1. kshuck2 says:

  Jina langu ni (Mayuma Ardhi?). Nina umri wa miaka kumi na sita. Nimezaliwa kijiji cha Bagamoyo katika nchi ya Tanzania. Ninaishi pamoja na wazazi wangu na ndugu zangu wanne. Tumezaliwa watoto watano. Nina wadogo wawili, wote wa kike, na kaka wawili. Wazazi wangu ni madaktari. Bibi yangu na baba yangu pia wote ni madaktari. (Ila mimi nikiwa?) mkubwa ningependa kuwa mwalimu, mwalimu wa kiswahili.

  My name is (?). I am 16 years old. I was born in the town of Bagamoyo in the country of Tanzania. I live together with my parents and my four siblings. We are five children (?). I have two younger siblings, both girls, and two brothers. My parents are doctors. My grandmother and my grandfather are also both doctors. Except when I’m grown up I would like to be a teacher – a teacher of Swahili.

 2. fun~lugha says:

  -Jina: Mwajuma Ali
  -Village of Bagamoyo (town is mji)

  Zaidi ya hayo vizuri sana, makofi kwako!

Leave a Reply