LESSON #90: Methali…#8

“Ponda mali kufa kwaja”

Ponda- crush

Mali- wealth/money

Kufa- dying/to die

Kwaja- is coming/cometh

As you may have already figured out this means spend/enjoy your wealth/money because eventually death awaits you. Very sobering message if you ask me! And thats my message for the weekend, live life but live it wisely cuz death does await you 😉

 

Tagged , , , . Bookmark the permalink.

3 Responses to LESSON #90: Methali…#8

 1. Nico says:

  Hujambo mwalimu!

  Napenda methali hiyo, inafanana carpe diem, au sivyo?

  Nakuomba kueleza that ‘kwaja’ thingy – ni kama mchanganyiko wa ‘kwako’ na ‘kuja’ (which would literally make ‘death yours is coming’) ama hakuna maana/sarufi ya kweli kwa sababu ni methali…?
  Ama kulikuwa na maana lakini imefifia? Many questions there are!

  Asante sana na usiku mwema

 2. fun~lugha says:

  Natumai u mzima Nico na asante kwa mchango wako. Kwanza nashukuru kwa kunifundisha kuhusu carpe diem, nilikuwa siujui msemo huo-ama kweli elimu haina mwisho! Kuhusu “kwaja”, nimefupisha neno “kunakuja” (it (death) is coming) kwa kutumia “a” na kupata neno kwaja. Mifano mingine ni kama “ninakuja”=naja, “kinakuja”=chaja, “inakuja”=yaja n.k. Natumai tumeelewana. Wikendi njema!

 3. Nico says:

  Nimesahau kukujibia, argh! Fedheha iwe juu ya kichwa changu (shame upon me? ;-P).
  Bado sijaelewa vitu fulani vya sarufi, lakini nitazama katika mada hiyo.

  Asante kwa maelezo yako na usiku mwema!

Leave a Reply