LESSON #90: Methali…#8

“Ponda mali kufa kwaja” Ponda- crush Mali- wealth/money Kufa- dying/to die Kwaja- is coming/cometh As you may have already figured out this means spend/enjoy your wealth/money because eventually death awaits you. Very sobering message … Read More

Translation Challenge #9… (swa-eng)

Jana nimebahatika kutazama filamu moja yenye asili ya Kichina iitwayo “Under The Hawthorn Tree”. Filamu hii inatokana na kitabu kimoja maarufu sana chenye jina hilo hilo ambacho kimeuza nakala zaidi … Read More