Translation challenge #3… (swa-eng)

“Mpenzi mama,

Natumaini wewe ni mzima wa afya, mimi pia ni mzima kabisa.

Dhumuni la barua hii ni kukujulia hali kwa kuwa muda mrefu umepita toka tulipowasiliana. Mbali na kukujulia hali, ningependa kukutaarifu kuwa nitapata likizo mwisho wa mwezi ujao ambapo Read More