krismasi hiyooo…

Haya jamani, sikukuu ndo’ hiyoo yajongea au tuseme ishafika. Je, mna mipango gani krismasi hii? Kusema ukweli mimi sina, kwa sababu mimi si mtu wa kutoka na kwenda ‘kujivinjari’ kama wasemavyo vijana wa siku hizi (I know, boo!) Ila natumaini nyote mna mipango kabambe kabisa ya kukata na shoka, si mnajua tena, unaishi mara moja tu! Ila naomba niwasihi  Read More