LESSON 46: Learn Swahili vocabulary with pictures #9

uwanja wa taifa

Words to learn:

  • Uwanja wa mpira wa miguu (nyanja za mpira wa miguu)- football stadium
  • Mpira wa miguufootball
  • Mpira (mipira)- ball
  • Wachezaji (mchezaji)- players
  • Watazamaji (mtazamaji)- spectators
  • Kocha- coach
  • Michezo (mchezo)– sports
  • Matokeo– results
  • Magoli (goli)– goals
  • Golikipa– goalkeeper