Translation challenge #2…(swa-eng)

“Jina langu ni Saida, nina umri wa miaka ishirini na mitatu. Ninaishi katika nchi ya Misri jijini Cairo ambapo ndipo nimezaliwa na kukulia. Natokea kwenye familia ya watoto wanne na mimi ndiye kitinda mimba. Nina dada wawili na Read More

LESSON #11: Common Professions

I have picked 12 most commonly known professions:

  • Mwalimu…………….

  • Daktari (mganga)……………….

  • Wakili…………….

  • Mhandisi…………….

  • Mwandishi wa habari……………..

  • Mwigizaji…………..

Read More