Translation challenge #2…(swa-eng)

“Jina langu ni Saida, nina umri wa miaka ishirini na mitatu. Ninaishi katika nchi ya Misri jijini Cairo ambapo ndipo nimezaliwa na kukulia. Natokea kwenye familia ya watoto wanne na mimi ndiye kitinda mimba. Nina dada wawili na kaka mmoja. Mama yangu ni mama wa nyumbani na baba yangu ni wakili maarufu mjini Cairo.”

Remember any questions or your translation goes to the comments bit, don’t email me, tafadhalini sana.

Heri ya mwezi mpya kwenu nyote!

Tagged , , , , . Bookmark the permalink.

2 Responses to Translation challenge #2…(swa-eng)

  1. Joyce Keeley says:

    My name is Saida, I am twenty three years old I live in Egypt, indeed the city of Cairo is where I was born and raised. I come from a family of four kids and I was the last pregnancy. I have two sisters and one brother. My mom is a stay-at-home mother and my dad is a famous attorney in Cairo.

  2. lisensei07 says:

    Good stuff!
    Just one thing, ‘last pregnancy’…..not quite. That would definitely be the literal translation but the general meaning is ‘the last born’, a title am quite familiar with myself 😉
    And one more, for ‘ambapo’ I would go with ‘whereby’ or simply ‘which is the place where….’

Leave a Reply