Translation challenge #3… (swa-eng)

“Mpenzi mama,

Natumaini wewe ni mzima wa afya, mimi pia ni mzima kabisa.

Dhumuni la barua hii ni kukujulia hali kwa kuwa muda mrefu umepita toka tulipowasiliana. Mbali na kukujulia hali, ningependa kukutaarifu kuwa nitapata likizo mwisho wa mwezi ujao ambapo nimepanga kuja kukutembelea. Sina uhakika nitakuja lini kwa hivyo utegemee kuniona siku yoyote ile.

Nakutakia afya njema, hadi tutakapoonana tena.

Mwanao mpendwa,

Imani”

Tagged , . Bookmark the permalink.

2 Responses to Translation challenge #3… (swa-eng)

 1. kshuck2 says:

  Dear mom,

  I hope you are in good health, I too am extremely well.

  The purpose of this letter is to ask how you are doing since it has been a long time since we’ve spoken. Apart from asking how you’re doing, I’d like to let you know that I will get time off the end of next month when I have arranged to come visit you. I’m not sure when I will come therefore you can expect to see me any day then.

  I wish you good health, until we see each other again.

  Your loved child, (?)
  Imani

 2. fun~lugha says:

  Thats spot on, well done! “Your loving child” will do too, though potahto…potayto?!

Leave a Reply